 Wachezaji wa            Barcelona walilazimika kumbeba nahodha wao,Lionel Messi baada            ya kufunga bao la tatu, hat trick na kuisaidia Barca kuitwanga            Sevilla kwa mabao 5-1.
 Wachezaji wa            Barcelona walilazimika kumbeba nahodha wao,Lionel Messi baada            ya kufunga bao la tatu, hat trick na kuisaidia Barca kuitwanga            Sevilla kwa mabao 5-1.Katika mechi hiyo ya La Liga              iliyopigwa kwenye Uwanja wa Camp Nou, Messi alionyesha              kuvunja rekodi iliyowekwa na Telmo Zarra.
                      Nyota huyo wa zamani wa                Athletic Bilbao aliyetamba kati ya mwaka 1940 na 1955                alimaliza La Liga akiwa amefunga mabao 251.
            Kwa mabao matatu ya Messi                dhidi ya Sevilla, amefanikiwa kufikisha 252 na pia ameweka                rekodi ya kuwa mchezaji mwenye mabao mengi zaidi La Liga                akiwa na miaka 27 tu.
                        


Comments
Post a Comment