MASHABIKI WAVURUGA MECHI YA EUROPA YA TOTTENHAM, WATAWALA UWANJANI,


MASHABIKI WAVURUGA MECHI YA EUROPA YA TOTTENHAM, WATAWALA UWANJANI,

Mashabiki watatu walivamia uwanjani wakati Tottenham ikipambana na Partizan Belgrade katika mechi ya Ligi ya Europa ambayo ilikuwa 'suspended'.
Mashabiki hao walivamia uwanjani na kuanza kupiga picha 'selfie' na wachezaji wa Spurs.Kwa kuwa walikuwa wakiingia kila baada ya muda mchache, ilimlazimu mwamuzi kuwarudisha wachezaji vyumbani.




Comments