(kushoto) na Joe Allen (kulia) wakiruka juu kupambana na mshambuliaji wa Stoke City, Jonathan Walters katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Anfield.
Liverpool ilishinda 1-0, bao pekee la Glen Johnson dakika ya 85.
Comments
Post a Comment