KIUNGO WA BORUSSIA DORTMUND ILKAY GUNDOGAN AJILENGESHA KWA MANCHESTER UNITED




KIUNGO WA BORUSSIA DORTMUND ILKAY GUNDOGAN AJILENGESHA KWA MANCHESTER UNITED

Ilkay Gundogan has put Manchester United on alert                  after revealing he is open to a move to the Premier                  League

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 24 alishinda taji la Bundesliga  akiwa Borussia Dortmund msimu wa 2011-12, lakini maisha ya Ujerumani yameanza kumpasua kichwa huku janga la kuwa majeruhi likamfanya aanze mechi tatu tu nwaka uliopita.

Gundogan ambaye ni chaguo la United, almanusura ajiunge na Real Madrid kabla timu yake haijageuza kibao na kutupilia mbali ofa.

Pamoja na hayo bado kiungo huyo anasisitiza kuwa anaikaribisha kwa mikono miwili safari ya kwenda England au Hispania.



Comments