- Get link
- X
- Other Apps
Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akipambana na beki wa Sunderland, John O'Shea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo uliomalizika kwa sare 0-0 Uwanja wa Light.
Mshambuliaji wa Sunderland, Connor Wickham (katikati) akikwatuliwa na beki wa kulia wa Chelsea, Branislav Ivanovic huku Gary Cahill wa Chelsea pia akifuatilia
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment