CHELSEA YABANWA NA SUNDERLAND ZATOKA SARE



CHELSEA YABANWA NA SUNDERLAND ZATOKA SARE
 Timu ya chelsea iliyoko kileleni wa ligi kuu England imebanwa na kulazimishwa sare ya bila kufungana na timu ya Sunderland, katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliomalizika kwa sare 0-0 Uwanja wa Light.



Comments