Igawa kumekuwa na hatua ya majadiliano kati ya Simba na Azam, hatimaye kiungo Amri Kiemba ameanza mazoezi jana.
Kiemba ameanza mazoezi kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar.
Awali Azam FC ilitaka ipewe kiungo huyo kwa mkopo, lakini Simba ikakataa. nayo ikatangaza dau la dola 15,000 Azam FC ikakataa pia.
Lakini mambo inaonekana yameenda safi na Kiemba rasmi ameanza mazoezi Azam.
Comments
Post a Comment