WANAODHANI BELLA AMEKWENDA ULAYA KUANGALIA MAGOROFA HII INAWAHUSU SANA

WANAODHANI BELLA AMEKWENDA ULAYA KUANGALIA MAGOROFA HII INAWAHUSU SANA
WANAODHANI BELLA AMEKWENDA ULAYA KUANGALIA MAGOROFA HII            INAWAHUSU SANA

MWIMBAJI anayeshikilia chati za muziki wa dansi kwa sasa hapa nchini, Christian Bella, bado yuko barani Ulaya akipiga show katika nchi mbali mbali.

Kama wako wanaodhani kuwa Bella kaenda kushangaa magorofa Ulaya basi watakuwa wamekosea sana, jamaa anagombewa kama mpira wa kona, amekuwa na mfululizo wa show nyingi, mfano wake ni hilo tangazo hapo chini linalohusu onyesho lake la Norway katika jiji la Oslo, Novemba 8.

Comments