TOTTENHAM YAPIGWA 2-1 NYUMBANI NA NEWCASTLE


TOTTENHAM YAPIGWA 2-1 NYUMBANI NA NEWCASTLE

Ameobi had been told to step up by manager Alan                    Pardew and the striker replied with a goal to make it                    1-1 at White Hart Lane

HALI ni tete kwa Tottenham Hotspur kwenye Ligi Kuu msimu huu baada ya kuchukua kichapo cha 2-1 kwenye uwanja wake wa nyumbani nyumbani kutoka kwa Newcastle.

Adebayor aliitangulza Tottenham kwa bao la dakika ya 18, lakini mabao ya kipindi cha pili kutoka kwa Ameobi (dakika ya 46) Perez (dakika ya 58) yakaipatia Newcastle ushindi muhimu.

Tottenham Hotspur (4-1-4-1): Lloris 5.5, Dier 5.5, Kaboul 6, Vertonghen 6, Rose 5.5, Capoue 5 (Kane 6, 67), Mason 6.5, Lamela 6 (Lennon, 78), Eriksen 6, Chadli 5, Adebayor 6 (Soldado, 83)

Newcastle (4-2-3-1): Krul 6.5, Janmaat 6.5, Steven Taylor 6, Coloccini 6.5, Dummett 6, Colback 6.5, Anita 5 (Cabella 6.5, 46), Obertan 5.5 (Ameobi 7, 46), Sissoko 7.5, Gouffran 6, Perez 7 (Haidara, 79)



Comments