Mshambuliaji wa klabu ya Juventus ya nchini Italia Carlos Tevez amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Argentina baada ya kufungiwa vioo na aliyekuwa kocha wa awali Allejandro Sabella.
Kocha wa sasa wa kikosi hicho Gerardo Martino amemrejesha          kwenye kikosi kitakachopambana na Ureno na Croatia hapo badae.
          ukiacha jina la Tevez wachzaji wengine wapya walioitwa ni          golikipa wa Manchester City Willy Caballero pamoja na mchezaji          wa Totenham Federico Fazio.
Comments
Post a Comment