TABATA FC YAINGIA ROBO FAINALI YA LIGI YA DK. MWAKA SPORTS EXTRA NDONDO CUP, YAIFUNGA SIFA POLITAN KWA PENALTI 4-3

TABATA FC YAINGIA ROBO FAINALI YA LIGI YA DK. MWAKA SPORTS EXTRA NDONDO CUP, YAIFUNGA SIFA POLITAN KWA PENALTI 4-3
 Mashabiki wa timu ya  Sifa Politan wakishangilia timu yao kwenye uwanja wa Bandari, Tandika, jijini Dar es salaam.
 Mashabiki wa timu ya Tabata FC wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Sifa Politan kwa mikwaju ya penalti 4-3.
 Kipa wa Sifa Politan akiruka bila mafanikio kujaribu kuokoa penalti iliyopigwa na Kudura Shaban wa Tabata FC. 
Heka Heka katika lango la timu ya BOOM FC.
 Mashabiki  soka wakifuatilia pambano la Sifa Politan na Tabata FC kwenye Uwanja wa Bandari. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Comments