SIKILIZA WIMBO MWINGINE MPYA WA FIVE STARS …ni uimbaji wake Mariam BSS na kitu “Kichambo Kinakuhusu”



SIKILIZA WIMBO MWINGINE MPYA WA FIVE STARS …ni uimbaji wake Mariam BSS na kitu "Kichambo Kinakuhusu"
SIKILIZA WIMBO MWINGINE MPYA WA FIVE STARS …ni uimbaji            wake Mariam BSS na kitu

BAADA ya kukupatia wimbo mpya wa Five Stars "Big Up My Dear" ulioimbwa na Mussa Kijoti, sasa tunakuletea wimbo mwingine wa kundi hilo "Kichambo Kinakuhusu" ambao umeimbwa na Mariam BSS.

Katika wimbo huu, utausikia mkono wa God Kanuti kutoka Twanga Pepeta ambaye amekung'uta gitaa la solo, bass ni Mussa Mipango na kinanda ni Ally Jay.

Pata uhondo



Comments