NDUGU, jamaa na marafiki wamejitokeza kwa wingi kwenye msiba wa Bi Furaha Baraka ambaye ni mdogo wake na mkurugenzi wa Aset inayomiliki bendi ya Twanga Pepeta, mamaa Asha Baraka.
Shughuli na taratibu mbali mbali za mazishi zinaendelea nyumbani kwao Kinondoni Hananasif kabla ya kwenda kuhifadhiwa kwenye makaburi ya Kisutu majira ya saa 10 alasiri.
Furaha alifariki wiki iliyopita akiwa nchini Ubelgiji alipokuwa akiishi. Mwili wake ukawasili Dar es Salaam jana usiku.
sehemu ya magari ya watu waliofika msibani
Upande wa wanaume
Upande wa wanawake
Kisomo kilivyokuwa kinaendelea
Sehemu nyingine inayoonyesha magari yaliyofika msibani
Upande wa kinamama






Comments
Post a Comment