YAMOTO Band kundi linaloundwa na vijana wanne machipukizi, nalo lilikuwa miongoni mwa waburudishaji kwenye tamasha la Siku ya Msanii pale Mlimani City Jumamosi.
Wakiwa wamevalia sare zao nzuri, Yamoto wakapata kuhitimisha burudani zilizopangwa kwenye tamasha hilo.
Yamoto jukaani
Mzuka umepanda
Kila mtu na staili yake
Nyonga nazo zimo
Wanashambulia sasa
Comments
Post a Comment