PICHA 15 ZA DIAMOND ALIVYOTESA TAMASHA LA SIKU YA MSANII ...huyu jamaa kufunikwa si leo wala kesho

PICHA 15 ZA DIAMOND ALIVYOTESA TAMASHA LA SIKU YA MSANII ...huyu jamaa kufunikwa si leo wala kesho
PICHA 15 ZA DIAMOND ALIVYOTESA TAMASHA LA SIKU YA MSANII            ...huyu jamaa kufunikwa si leo wala kesho

KAMA kuna msanii ana njozi ya kuifunika nyota ya Diomond kwa miezi ya hivi karibuni, basi ajipange sana, jamaa yuko njema kupita maelezo.

Katika tamasha la Siku ya Msanii lililofanyika Jumamosi iliyopita pale Mlimani City, Diamond alipiga show ya kikubwa, alijua kucheza na hadhira, akaonyesha ufundi wa kulitumia jukwaa.

Diamond alitia fora kwa kunengua sambamba na madansa wake, akapiga sarakasi flan zilizoongeza raha, lakini kubwa zaidi ni kwamba mshindi huyo wa tuzo nane za Kili Music Awards alijua kupangilia nyimbo zake – kila wimbo uliamsha shangwe.

Pata picha zake kadhaa. 

 Diamond kazini
Kazi inaendelea
 Diamond anashambulia
 Hapo sasa!!
Diamond akiimba kwa hisia
Hakika ilikuwa bonge la show
 Diamond na wasafi wake
 Mzuka unapopanda sarakasi zinakuja zenyewe
Hebu cheki hiyo
Kama mamtoni vile!!!
 Ni mashambulizi kwa kwenda mbele
Uhondo juu ya uhondo
 Ni mambo ya ngololoo
 Diamond akipagawisha mashabiki
Usipime!!!

Comments