PAUL POBGA AIPA ZA USO MANCHESTER UNITED …arefusha mkataba wake Juventus hadi 2019


PAUL POBGA AIPA ZA USO MANCHESTER UNITED …arefusha mkataba wake Juventus hadi 2019

Pogba has snubbed a return to Manchester United and                  has signed a new long-term deal with Juventus

PAUL Pobga amerefusha mkataba wake Juventus na sasa ataendelea kukipiga na miamba hiyo ya Italia hadi Juni 2019, klabu hiyo ya Turin imetangaza Ijumaa.

Mkataba wa sasa hivi wa kiungo huyo wa kimataifa wa Ufaransa ulikuwa unakwisha mwaka 2016. Habari hizi ni pigo kubwa kwa Manchester United ambayo imekuwa ikiwania kumrudisha kikosini tangu alipoondoka kwa usajili huru mwaka 2012.

Pogba in action for Manchester United against West                  Bromwich Albion in 2012

Dili  jipya limeripotiwa kuwa litamfanya mshahara wake wa sasa pauni milioni 23, 000 kwa wiki, utaongezeka mara tatu.



Comments