MSANII JOH MAKINI ALIVYOWAPAGAWISHA MASHABIKI KWENYE TAMASHA LA COKE STUDIO, COCO BEACH

Akiwasalimia mashabiki wake.

Mashabiki wakimshangilia.Msanii wa Hip Hop, Joh Makini kutoka Kundi la Weusi aliwakilisha vilivyo katika Tamasha la wazi la Coke Studio lililofanyika juzi Jumapili Cocobeach jijini Dar.
Comments
Post a Comment