MOURINHO ASEMA HUENDA DIEGO COSTA AKACHEZA DHIDI YA UNITED JUMAPILI


MOURINHO ASEMA HUENDA DIEGO COSTA AKACHEZA DHIDI YA UNITED JUMAPILI

Diego Costa has a 'chance' of facing Manchester                    United at Old Trafford, insists Chelsea boss Jose                    Mourinho

KOCHA wa Chelsea Jose Mourinho amekataa kumkatia tamaa mshambuliaji wake tegemeo Diego Costa juu ya uwepo wake kwenye mechi dhidi ya Manchester United Jumapili hii.

Mshambuliaji huyo wa Hispania amekosa mechi mbili kufuatia maumivu ya msuli na kumekuwa na mashaka makubwa kuwa hataweza kuikabili Manchester United.

Lakini Mourinho, ambaye amethibitisha kuwa mshambuliaji wake mwingine Loic Remy atakuwa nje ya dimba kwa wiki tatu kwa maumivu ya nyonga, alisema upo uwezekano wa Costa kucheza Old Trafford. 



Comments