MANCHESTER UNITED KAZI WANAYO! DIEGO COSTA KUONGOZA MASHAMBULIZI YA CHELSEA



MANCHESTER UNITED KAZI WANAYO! DIEGO COSTA KUONGOZA MASHAMBULIZI YA CHELSEA

The striker has made an impressive start to life                    in England and is currently the Premier League's top                    scorer

MSHAMBULIAJI 'aliyefunga ndoa' na nyavu za Premier League, Diego Costa, anatarajiwa kuanza kwenye mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Manchester United utakaopigwa hapo baadae kwenye dimba la Old Trafford.

Costa amekuwa nje ya dimba kwa mechi mbili zilizopita kufuatia maumivu ya msuli, lakini alifanya mazoezi Jumamosi na yuko tayari kuwakabili Mashetani wekundu.

Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Hispania ndiye kinara wa magoli wa Premier League na amekuwa akifunga karibu katika kila mchezo aliocheza. Uwepo wake katika mchezo huu unatarajiwa kuleta usumbufu mkubwa kwenye ngome ya United.



Comments