DAKIKA 41 za mwanzo zilitosha kabisa Real Madrid kupeleka maangamizi kwa Liverpool ndani ya uwanja wao wa nyumbani Anfield, wenyeji wakala 3-0 safi.
Ulikuwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Ulaya ulioshuhudia Real Madrid wakifanya kile kilichotarajiwa – kutawala mchezo, kusukuma mashambulizi na kutumia nafasi muhimu walizopata.
Cristiano Ronaldo akakata utepe kwa bao la kwanza kunako dakika ya 23 kabla ya Benzima kufunga mara mbili dakika ya 30 na 41.
Liverpool: Mignolet 5.5, Johnson 4.5, Skrtel 5, Lovren 5.5, Moreno 5.5, Henderson 5.5 (Can 67), Gerrard 5, Allen 6, Sterling 6.5, Balotelli 4.5 (Lallana 45), Coutinho 6 (Markovic 67)
Real Madrid: Casillas 6.5, Arbeloa 6.5, Varane 7, Pepe 7, Marcelo 7.5 (Nacho 85), Modric 7.5, Kroo 8.5 (Illarramendi 82), Rodriguez 8, Isco 7.5, Benzema 9, Ronaldo 8.5 (Khedira 75)
Comments
Post a Comment