Ligi Kuu ya Zanzibar: Shaba na Chuoni bao 1-1 uwanja wa Amaan


Ligi Kuu ya Zanzibar: Shaba na Chuoni bao 1-1 uwanja wa Amaan leo
Mashabiki wa timu ya Shaba wakishangilia timu yao wakati ikicheza na timu ya Chuoni katika uwanja wa Amaan, jioni leo na katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya 1--1.
Mchezaji wa timu ya Shaba akiondoa mpira golini kwake wakati wa mchezo wa ligi kuu ya grand malt mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan.


Comments