MKURUGENZI wa Extra Bongo, Ally Chocky ameiambia Saluti5 kuwa kisomo cha 40 ya mkewe (Mama Shuu) aliyefariki Oktoba 4 itafanyika Jumapili tarehe 9 Novemba mwaka huu.
Chocky (pichani juu) amesema shughuli hiyo itafanyika nyumbani kwao Kigamboni jijini Dar es Salaam kuanzia saa 6 mchana.
Comments
Post a Comment