IMEDHIBITIKA KLABU YA BARCELONA INAONGOZA KWA KUZALISHA WACHEZAJI WENGI WANAOTAMBA HIVI SASA





IMEDHIBITIKA KLABU YA BARCELONA INAONGOZA KWA KUZALISHA WACHEZAJI WENGI WANAOTAMBA HIVI SASA

Imedhibitika kuwa Klabu ya Barcelona inaongoza kwa kuzalisha wachezaji wengi wanaotamba kwa sasa barani ulaya na jeuri hiyo wanaitoa kupitia chuo cha soka cha La Masia, Barcelona imezalisha nyota 43 waocheza kwenye vilabu vya ligi tano barani ulaya.

Barcelona wanawachezaji 13 waliowazalisha wenyewe kama Lionel Messi na Andres Iniesta wengine 30 wanacheza kwenye vilabu vingine nchini England, Spain, Italy, France na Germany wachezaji hao ni kama Thiago Alcantara Bayern Munich, Mikel Arteta Arsenal na Gerard Deulofeu, ambaye yupo Sevilla.

BARCELONA – 43

la masia13 waliopo ni Rafinha Alcantara, Marc Bartra, Sergio Busquets, Munir El Haddadi, Xavi Hernandez, Andres Iniesta, Jordi Masip, Lionel Messi, Martin Montoya, Gerard Pique, Sandro Ramirez, Sergi Roberto, Pedro Rodriguez
30 wanaotamba Ulaya ni Mikel Arteta (Arsenal), Edu Campabadal (Cordoba), Thiago Alcantara (Bayern Munich), Pepe Reina (Bayern Munich), Iago Falque (Genoa), Oier Olazabal (Granada), Ruben Rochina (Granada), Jordi Xumetra (Levante), Jose Manuel Casado (Malaga), Thiago Motta (Paris Saint-Germain), Raul Baena (Rayo Vallecano), Roberto Trashorras (Rayo Vallecano), Andreu Fontas (Celta Vigo), Sergi Gomez (Celta Vigo), Carles Planas (Celta Vigo), Isaac Cuenca (Deportivo La Coruna), Sergi Garcia (Espanyol), Manuel Lanzarote (Espanyol), Paco Montanes (Espanyol), Victor Sanchez (Espanyol), Gerard Deulofeu (Sevilla on loan from Barcelona), Fernando Navarro (Sevilla), Bojan Krkic (Stoke City), Marc Muniesa (Stoke City), Jordi Gomez (Sunderland), Ruben Ivan Martinez (Almeria), Oriol Romeu (Stuttgart on loan from Chelsea), Giovani dos Santos (Villarreal), Jonathan dos Santos (Villarreal), Javi Espinosa (Villarreal)

Manchester United wanashika nafasi ya pili kwa kuzalisha wachezaji barani ulaya ,

man uwaliopo kwenye klabu mpaka sasa ni 12 , huku wachezaji 24 wakichezea vilabu vingine vya ligi kuu ya Englandna vilabu vingine barani Ulaya.
12 waliopo mpaka sasa ni Ben Amos, Tyler Blackett, Rafael da Silva, Jonny Evans, Darren Fletcher, Adnan Januzaj, Sam Johnstone, Jesse Lingard, Patrick McNair, Wayne Rooney, Tom Thorpe, James Wilson
24 waliokulia kwenye academy ya Man United ni Danny Welbeck (Arsenal), Tom Cleverley (Aston Villa on loan from United), Kieran Richardson (Aston Villa), Tom Heaton (Burnley), David Jones (Burnley), Michael Keane (Burnley on loan from United), Fraizer Campbell (Crystal Palace), Ezekiel Fryers (Crystal Palace), Darron Gibson (Everton), Gerard Pique (Barcelona), Ron-Robert Zieler (Hannover), Robbie Brady (Hull City), James Chester (Hull City), Paul McShane (Hull City), Paul Pogba (Juventus), Danny Drinkwater (Leicester City), Matt James (Leicester City), Danny Simpson (Leicester City), Cristiano Ronaldo (Real Madrid), Phil Bardsley (Stoke City), Ryan Shawcross (Stoke City), Wes Brown (Sunderland), John O'Shea (Sunderland), Ravel Morrison (West Ham)

Real Madrid inawachezaji 34 waliokulia kwenye academy ya Bernabeu.

real
Nane waliokulia kwenye academy nab ado wanaichezea Madrid ni Alvaro Arbeloa, Daniel Carvajal, Iker Casillas, Nacho Fernandez, Diego Llorente, Alvaro Medran, Fernando Pacheco, Marcelo Vieira.
Ishirini na sita waliokulia Madrid na kuuzwa ni Marcos Alonso (Fiorentina), Borja Valero (Fiorentina), Juanfran (Atletico Madrid), Miguel Nieto (Cordoba), Adrian Gonzalez (Elche), Manu Herrera (Elche), Pedro Mosquera (Elche), Pablo Sarabia (Getafe), Juan Carlos (Granada), Alvaro Morata (Juventus), Victor Perez (Levante), Miguel Torres (Malaga), Juan Mata (Manchester United), Alberto Bueno (Rayo Vallecano), Jose Rodriguez (Deportivo La Coruna), Laure Sanabria (Deportivo La Coruna), Francisco Casilla (Espanyol), Alex Fernandez (Espanyol), Lucas Vazquez (Espanyol), Esteban Granero (Real Sociedad), Jose Maria Callejon (Napoli), Roberto Soldado (Tottenham), Miguel Corona (Almeria), Edgar Mendez (Almeria), Dani Parejo (Valencia), Denis Cheryshev (Villarreal).
Lyon na inashika nafasi ya nne kwa kuzalisha wachezaji 33

Paris Saint-Germain inashikilia nafasi ya tano inawachezaji 27 iliyowazalisha yenyewe, watano wapo PSG, 22 wameuzwa kwenye vilabu vingine.
Arsenal imezalisha wachezaji 22 ambapo 7 wapo ambao ni Francis Coquelin, Kieran Gibbs, Serge Gnabry, Aaron Ramsey, Wojciech Szczesny, Theo Walcott, Jack Wilshere
15 waliokulia Arsenal na kwenda vilabu vingine ni Ashley Cole (Roma), Philippe Senderos (Aston Villa), Cesc Fabregas (Chelsea), Dwight Gayle (Crystal Palace), Jerome Thomas (Crystal Palace), Gilles Sunu (Lorient), Johan Djourou (Hamburg), Matthew Upson (Leicester City), Gael Clichy (Manchester City), Armand Traore (Queens Park Rangers), Steve Sidwell (Stoke City), Sebastian Larsson (Sunderland), Vito Mannone (Sunderland), Nicklas Bendtner (Wolfsburg), Alex Song (West Ham on loan from Barcelona).
ASTON VILLA inashika nafasi ya 34 ikiwa imezalisha nyota 14
Ambapo wachezaji 6 waliokulia kwenye klabu hiyo nab ado wapo ni Gabriel Agbonlahor, Nathan Baker, Ciaran Clark, Jack Grealish, Benjamin Siegrist, Andreas Weimann.
8 wametawanyika kwenye vilabu vingine kama Gary Cahill (Chelsea), Barry Bannan (Crystal Palace), Gareth Barry (Everton), Zoltan Stieber (Hamburg), Marc Albrighton (Leicester City), Steven Davis (Southampton), Craig Gardner (West Brom), Boaz Myhill (West Brom)
MANCHESTER CITY inashika nafasi ya 45 kwa kuzalisha nyota 12.
Mmoja tu ndio aliyopo sasa ni Dedryck Boyata.
11 waliokulia kwenye klabu hiyo na kuondoka ni Micah Richards (Fiorentina), Ben Mee (Burnley), Kieran Trippier (Burnley), Kasper Schmeichel (Leicester City), Daniel Sturridge (Liverpool), Joey Barton (QPR), Nedum Onuoha (QPR), Shaun Wright-Phillips (QPR), Stephen Ireland (Stoke City), Glenn Whelan (Stoke City), Marcos Lopes (Lille on loan from City)

SOUTHAMPTON nafasi ya 45 imezalisha nyota 12
Wanne waliopo kwenye klabu hiyo ni Lloyd Isgrove, Morgan Schneiderlin, Matt Targett, James Ward-Prowse
8 waliokulia Southampton na kwenda vilabu vingine ni Calum Chambers (Arsenal), Alex Oxlade-Chamberlain (Arsenal), Theo Walcott (Arsenal), Adam Lallana (Liverpool), Luke Shaw (Manchester United), Gareth Bale (Real Madrid), Nathan Dyer (Swansea City), Chris Baird (West Brom).
TOTTENHAM HOTSPUR nafasi ya 45 imezalisha nyota 12
6 waliopo kwenye klabu hiyo ni Nabil Bentaleb, Harry Kane, Aaron Lennon, Ryan Mason, Danny Rose, Andros Townsend
6 waliopo vilabu vingine barani ulaya ni Dean Marney (Burnley), Jake Livermore (Hull City), Steven Caulker (QPR), Gareth Bale (Real Madrid), Peter Crouch (Stoke City), Thomas Carroll (Swansea on loan from Spurs)
CHELSEA inashika pia nafasi ya 45, imezalisha 12
Waliopo kwenye klabu hiyo mpaka sasa ni watatu ambao ni Nathan Ake, Todd Kane, John Terry
9 wanaotamba kwenye vilabu vingine barani Ulaya ni Nathaniel Chalobah (Burnley on loan from Chelsea), Jacopo Sala (Hellas Verona), Fabio Borini (Liverpool), Scott Sinclair (Manchester City), Gael Kakuta (Rayo Vallecano on loan from Chelsea), Jack Cork (Southampton), Robert Huth (Stoke City), Liam Bridcutt (Sunderland), Carlton Cole (West Ham).



Comments