CHELSEA YAFANYA VITU VYAKE, NI DROGA KWA MARA NYINGINE TENA …pata matokeo ya mechi zote za Capital One Cup


CHELSEA YAFANYA VITU VYAKE, NI DROGA KWA MARA NYINGINE TENA …pata matokeo ya mechi zote za Capital One Cup

Chelsea striker Drogba (left) gives his side the                    lead against Shrewsbury with a volley early in the                    second half

AKIWA na umri wa miaka 36, Didier Drogba ameonyesha bado ni "Special Drog" baada ya kung'ara vilivyo kwenye mechi ya Capital One Cup akichagiza ushindi wa 2-1 kwa timu yake ya Chelsea dhidi ya Shrewsbury.

Drogba alifunga katika dakika ya 48 likiwa ni bao lake la tatu katika mechi tatu, lakini mbali na kufunga, mshambuliaji pia alikuwa ndiye nyota wa mchezo kwa kuisumbua vilivyo ngome ya wapinzani wao.

Drogba (third from right) is congratulated by his                  team-mates after breaking the deadlock against the                  League Two side

Andrew Mangan  akaifungia Chelsea bao la pili dakika ya 77 kabla ya beki wa Chelsea Jermaine Grandison kujifunga kunako dakika ya 81.

Shrewsbury (3-5-2): Leutwiler 6.5; Grandison 7, Goldson 7, Knight-Percival 6.5; Grimmer 6.5, Woods 7, Lawrence 7.5, Grant 6.5 (Clark 67min 6), Demetriou 6; Akpa-Akpro 7, Collins 7 (Mangan 75 7)

Chelsea (4-2-3-1): Cech 6.5; Christensen 6, Cahill 7, Zouma 7, Luis 6; Mikel 6 (Matic 80), Ake 7; Salah 6.5 (Willian 80), Oscar 7 (Hazard 93) Shurrle 6.5; Drogba 8.

Matokeo ya mechi zote za Capital One zilizochezwa Jumanne usiku ni kama ifuatavyo:

FT      AFC Bournemouth        2 - 1   West Bromwich Albion

FT      Milton Keynes Dons     1 - 2   Sheffield United

FT      Shrewsbury Town         1 - 2   Chelsea

FT      Fulham       2 - 5   Derby County

FT      Liverpool   2 - 1   Swansea City



Comments