BORUSSIA DORTMUND YATIMUA VUMBI, YAITUNGUA GALATASARAY 4-0 ...ATLETICO MADRID NAYO YAUA 5-0 ...pata matokeo ya mechi zote za Jumatano
Borussia Dortmund imeendelea kutesa kwenye Ligi ya Mabingwa kundi D baada ya kuichapa Galatasaray 4-0 na kuendelea kuongoza kundi hilo.
Mabao ya Borussia Dortmund ambayo imefikisha pointi tisa, yalifungwa na Aubameyang 6, 18, Reus 41, Ramos 83.
Galatasaray: Muslera, Tarık, Chedjou, Semih, Telles (Öztekin 62), Melo, Hamit (Dzemaili 61), Selçuk, Sneijder, Pandev (Colak 78), Burak
Borussia Dortmund: Weidenfeller, Piszczek, Hummels (Gündogan 69), Subotic, Aubameyang, Mkhitaryan, Sokratis, Kehl, Kagawa (Ramos 82), Reus, Bender (Ginter 55).
Matokeo ya mechi zote zilizochezwa Jumatano ni:
FT Atletico Madrid 5 - 0 Malmo FF
FT Olympiakos 1 - 0 Juventus
Champions League - Group B October 22
FT Liverpool 0 - 3 Real Madrid
FT PFC Ludogorets Razgrad 1 - 0 Basel
Champions League - Group C October 22
FT Bayer Leverkusen 2 - 0 Zenit St. Petersburg
FT Monaco 0 - 0 Benfica
Champions League - Group D October 22
FT Anderlecht 1 - 2 Arsenal
FT Galatasaray 0 - 4 Borussia Dortmund
Comments
Post a Comment