 Asubuhi            mapema yalianza Matembezi ya hiari na Mkuu wa Mkoa wa Kagera            Mh. Fabian Massawe alijumuika Matembezi hayo na kisha baadae            kuendelea na Bonanza la kuhamasisha Michezo MKOA WA KAGERA            kwenye Uwanja wa Kaitaba ambalo limeandaliwa na Bukoba            Veteran.Bonanza kubwa            kufanyika hapa Kagera mwezi wa 12 ambapo litashirikisha Mikoa            mbalimbali kama Arusha, Mwanza, Dodoma Morogoro..nk
Asubuhi            mapema yalianza Matembezi ya hiari na Mkuu wa Mkoa wa Kagera            Mh. Fabian Massawe alijumuika Matembezi hayo na kisha baadae            kuendelea na Bonanza la kuhamasisha Michezo MKOA WA KAGERA            kwenye Uwanja wa Kaitaba ambalo limeandaliwa na Bukoba            Veteran.Bonanza kubwa            kufanyika hapa Kagera mwezi wa 12 ambapo litashirikisha Mikoa            mbalimbali kama Arusha, Mwanza, Dodoma Morogoro..nkAmbao watakaoshiriki Bonanza hilo ni zile Timu za Veteran katika Mikoa hiyo husikka itakayopewa nafasi ya kuharikwa Mkoani Kagera.
 Vijana wa Bukoba Veteran wakifanya          mazoezi kwenye Uwanja wa Kaitaba. kwenye Bonanza la kuhamasisha          Michezo Mkoani Kagera.
Vijana wa Bukoba Veteran wakifanya          mazoezi kwenye Uwanja wa Kaitaba. kwenye Bonanza la kuhamasisha          Michezo Mkoani Kagera. Michezo mablimbali imefanyika katika          Bonanza hilo ikiwemo Mchezo wa kuvuta Kamba, kukimbiza kuku,          Mpira wa miguu ambao Uwamezikutanisha Timu za Veteran kutoka          Wilaya mbalimbali za hapa Kagera.  Timu za mpira wa Miguu kutoka          Muleba Veteran, Bukoba Veteran, Kagera Sugar Veteran, Kamachumu          Veteran  na Timu ya Uhuru sport Club
Michezo mablimbali imefanyika katika          Bonanza hilo ikiwemo Mchezo wa kuvuta Kamba, kukimbiza kuku,          Mpira wa miguu ambao Uwamezikutanisha Timu za Veteran kutoka          Wilaya mbalimbali za hapa Kagera.  Timu za mpira wa Miguu kutoka          Muleba Veteran, Bukoba Veteran, Kagera Sugar Veteran, Kamachumu          Veteran  na Timu ya Uhuru sport Club
Comments
Post a Comment