ARSENAL YAPAA, ALEXIS SANCHEZ HASHIKIKI ...Sunderland yala kichapo cha 2-0



ARSENAL YAPAA, ALEXIS SANCHEZ HASHIKIKI ...Sunderland yala kichapo cha 2-0

Sanchez runs away in celebration on Saturday at                    the Stadium of Light after giving Arsenal a lead they                    would never lose

ALEXIS Sanchez ametumia makosa yaliyofanywa na beki wa Sunderland, Wes Brown na kufunga bao la kwanza dakika ya 30, lakini wakati mechi ikielekea ukingoni, akatumia tena makosa ya kipa Vito Mannone kufunga goli la pili.

Magoli hayo na Sanchez yakatosha kuipa Arsenal ushindi wa 2-0 na kuchupa hadi nafasi ya tano kwenye msimamo wa Ligi kuu ya England.

Sunderland (4-1-4-1): Mannone 5, Vergini 6, Van Aanholt 6, O'Shea 6, Brown 4, Cattermole 6, Larsson 6, Rodwell 6 (Gomez 5, 74), Buckley 6, Johnson 6 (Altidore 5, 74), Fletcher 5 (Wickham 6, 51)

Arsenal (4-2-3-1): Szczesny 6, Chambers 7, Mertesacker 6, Monreal 6, Gibbs 6 (Bellerin 6, 74), Arteta 6 (Ramsey, 88), Flamini 6, Oxlade-Chamberlain 7 (Rosicky, 90), Cazorla 7, Sanchez 8, Welbeck 7



Comments