ARSENAL YAIMARIKA, THEO WALCOTT AREJEA DIMBANI


ARSENAL YAIMARIKA, THEO WALCOTT AREJEA DIMBANI

Arsene Wenger (left) welcomed back Theo Walcott                  (right) to his squad after a nine-month absence

MSHAMBULIAJI mwenye kasi ya ajabu Theo Walcott amerejea kwenye kikosi cha Arsenal na anajiandaa kwa safari ya kwenda kuikabili Sunderland baada ya goti kumweka nje ya dimba kwa miezi tisa.

Walcott, 25, amecheza kwa dakika 45 katika mechi ya vijana wa chini ya miaka 21 Ijumaa iliyopita na anaweza akajumuishwa kwenye safu kali ya ushambuliaji sambamba na Danny Welbeck na Alexis Sanchez ambayo itakuwa safu ya ushambuliaji yenye kasi zaidi katika Premier League.



Comments