AFRICAN LYON WAMRUDISHA KOCHA MRENO KUJA KUINOA TIMU YAO


AFRICAN LYON WAMRUDISHA KOCHA MRENO KUJA KUINOA TIMU YAO

Baada ya kuanza vibaya kampeni ya kurudi ligi kuu msimu ujao kwa kupoteza mechi zao nne za mwanzo katika ligi ya daraja la kwanza, timu ya African Lyon ya Dar es Salaam imemtimua kocha wao Jummane Chale na sasa ipo katika hatua za mwisho za kumrudisha tena kocha wa kireno Eduardo Filipe Arroja Almeida.

YANGAVSLION1

African Lyon ambao wamedhamiria kurudi ligi kuu msimu ujao, wanamrudisha Eduardo Filipe Arroja Almeida ambaye aliwahi kuifundisha timu hiyo katika msimu wa 2009/10 anatarajiwa kutua nchini ndani ya siku chache zijazo.

Eduardo Filipe Arroja Almeida anatokea katika klabu ya  Atlético Clube S.C amewahi kuvifundisha vilab vifuatavyo:

Sport Alenquer and Benfica (2000/2001) 1

Sport Lisboa and Benfica (2001/2004) U 16 – Portugal

U.F.C. Almeirim (2004/2005) U 19 – Portugal

Atletico Clube Cacem (2005/2007) 3

South China (2007/2008) Hong Kong Premier League

Clube F. Estrela Amadora (2008/2009) U-17

Atletico Clube Cacem (2008/2009) 3

African Lyon F.C (2009/2010) Premier League

Real Sport Clube (2010/2011) (6 months) Second National Division

Associação Naval 1o Maio(2010/2012) Premier League

st District Division- Portugal

rd National Division – Portugal

rd National Division – Portugal



Comments