Video nyingine ya Afrika inayochezwa sana kwenye TV


Screen Shot 2014-09-23 at 7.53.03          AMKila siku vituo mbalimbali vikubwa vya TV Afrika hupokea mamia ya video za Wasanii kutoka nchi mbalimbali za bara hili kwenye kipindi hiki ambacho video zimekua ni ushindani mkubwa mpaka wengine kutumia mamilioni ya pesa kuziandaa tu.

Nigeria bado imekua nchi inayoongoza kwa video zake kuchezwa kwenye TV mbalimbali ambapo kwenye playlist ya leo nimekutana na hii pia ya 'shake body' ya Skales ambayo ni miongoni mwa zinazochezwa sana.


Comments