Mshambuliaji                wa Simba, Emmanuel Okwi akishangilia bao aliloifungia timu                yake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara                dhidi ya Polisi ya Morogoro uliofanyika kwenye Uwanja wa                Taifa jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Ramadhani                Singano 'Messi'
        Golikipa                wa Polisi Morogoro, Abdul Ibad akijaribu kuokoa bila                mafanikio kiki iliyopigwa na mshambuliaji wa Simba,                Emmanuel Okwi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka                Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini                Dar es Salaam.
                Golikipa                wa Polisi Morogoro, Abdul Ibad akijaribu kuokoa bila                mafanikio kiki iliyopigwa na mshambuliaji wa Simba,                Emmanuel Okwi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka                Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini                Dar es Salaam leo. 
                 Okwi akiipangua ngome                ya Polisi Moro.
                Mshambuliaji                wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Polisi Morogoro,                Lulanga Mapunda wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka                Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini                Dar es Salaam.
         Mshambuliaji wa Simba,                Amisi Tambwe akiwa katikati ya wachezaji wa Polisi                Morogoro,  Lulanga Mapunda (kushoto) na golikipa wa timu                hiyo, Abdul Ibad  wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka                Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini                Dar es Salaam.
                 Mshambuliaji wa Simba,                Amisi Tambwe akiwa katikati ya wachezaji wa Polisi                Morogoro,  Lulanga Mapunda (kushoto) na golikipa wa timu                hiyo, Abdul Ibad  wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka                Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini                Dar es Salaam.
         Kipa wa Polisi Moro                akipata matibabu baada ya kuuimia.Picha na Francis                Dande,Globu ya Jamii.
        







Comments
Post a Comment