NEW AUDIO: SIKILIZA WIMBO WA KWANZA WA NEW VICTORIA SOUND …Mzee mzima Shabaan Lendi katesa sana na saxophone lake

HUU ni wimbo unaokwenda kwa jina la "Jojoo" ambao unakuwa ni wa kwanza katika ujio mpya wa New Victoria Sound ambayo inaundwa na nyota kadhaa kutoka Msondo Ngoma na Sikinde.

Ni utunzi wake mkung'utaji wa gitaa la kati Jonas Nembuka ambaye ndiye kiongozi wa bendi. Usikilize hapo chini.

Comments