MTOTO WA KIKE KUJIPAMBA! MWANNE TOTO LA MATASHTITI

MTOTO WA KIKE KUJIPAMBA! MWANNE TOTO LA MATASHTITI
MTOTO WA KIKE KUJIPAMBA! MWANNE TOTO LA MATASHTITI

KUSHOTO pichani ni mtangazaji wa miondoko ya taarab, Mwanne Othman maarufu kama Toto la Matashtiti akiwa kajikwatua ipasavyo katika moja ya mitoko yake.

Mwanne anakitumikia kituo cha East Africa Radio akiendesha kipindi cha Tam Tam za mwambao kinachurushwa kila Jumapili kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 6 mchana.

Comments