Meza kuu ikipokea maandamano kabla ya ufunguzi rasmi wa michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro.
Watumishi wa Serikali kutoka Wizara na Idara za Serikali wakiwa kwenye maandamano kabla ya ufunguzi wa mashindano ya michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro leo.
Watumishi wa Serikali kutoka Wizara na Idara za Serikali wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mashindano ya michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro leo.
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro Bw.Noeli Kazimoto akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kabla ya ufunguzi rasmi wa michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro leo.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani (Mb) akifungua mashindano ya michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro leo.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani akisalimiana na wanamichezo wanaoshiriki mashindano ya SHIMIWI mjini Morogoro,wakati wa ufunguzi wa michezo ya SHIMIWI.
Comments
Post a Comment