Mshambuliaji wa Chelsea, Oscar akimnyoshea kidole shabiki mmoja katika dimba la Stamford Bridge baada ya kufunga goli la kuongoza dhidi ya Aston Villa
Oscar aliunasa mpira unaozubaa mbele ya kipa wa Villa, Brad Guzan na kufunga goli la kuongoza
Oscar akipongezwa na Mbrazil mwenzake Willian (kulia) na Diego Costa (kushoto) baada ya kutikisa nyavu
Mshambuliaji wa Hispania, Costa (katikati) akionesha uwezo wake mbele ya wachezaji wa Aston Villa, Alan Hutton (kulia) na Philippe Senderos (kushoto)
+17
Mshambuliaji wa Aston Villa, Gabby Agbonlahor akijaribu kupiga shuti katika lango la Chelsea
+17
Costa akiruka juu na kumzidi beki wa Villa, Nathan Baker na kuifungia Chelsea goli la pili
+17
Kipa Guzan (kulia) alijaribu kupangua mpira wa kichwa uliopigwa na Costa, lakini aliambua manyoya
+17
Costa akishangilia goli lake
Comments
Post a Comment