Skip to main content
ANGALIA PICHA YANGA JINSI WALIVYOWAPIGISHA KWATA MAAFANDE WA PRISONS!
 
                      ANGALIA PICHA YANGA JINSI WALIVYOWAPIGISHA KWATA MAAFANDE          WA PRISONS!                                  Mshambuliaji wa Yanga,              Genilson Santana 'Jaja' akimpongeza mwenzake Andrew Coutinho              (wa kwanza kushoto) aliyeifungia Yanga bao la kwanza dhidi              ya Prisons katika Uwanja wa Taifa, Dar leo.                        Mchezaji                wa Yanga, Andrew Coutinho akijaribu kuipita ngome ya                Prisons.
Mchezaji                wa Yanga, Andrew Coutinho akijaribu kuipita ngome ya                Prisons. 
            
             Kikosi                cha Prisons kilichoanza dhidi ya Yanga leo.
Kikosi                cha Prisons kilichoanza dhidi ya Yanga leo. 
            
             Kikosi                cha Yanga kilichoiua Prisons ya Mbeya mabao 2-1.
Kikosi                cha Yanga kilichoiua Prisons ya Mbeya mabao 2-1. 
            
             Mchezaji                wa Yanga, Andrew Coutinho alilalamika baada ya kufanyiwa                madhambi uwanjani.
Mchezaji                wa Yanga, Andrew Coutinho alilalamika baada ya kufanyiwa                madhambi uwanjani. 
            
             ...Andrew                Coutinho kazini.
...Andrew                Coutinho kazini. 
            
             Mshambuliaji                wa Yanga, Genilson Santana 'Jaja' akifanya yake.
Mshambuliaji                wa Yanga, Genilson Santana 'Jaja' akifanya yake.           
 
Comments
Post a Comment