YANGA SC YAUNDA KAMATI ZA SHERIA, MAADILI, NIDHAMU NA UCHAGUZI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MWANASHERIA Sam Mapande, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya YANGA –(Utawala Bora) anapenda kutoa taarifa kupitia vyombo vya habari kwa wana YANGA, ameunda Kamati ndogo chini ya Kamati ya Utendaji wa YANGA zifuatazo:


1) KAMATI YA MAADILI 
Wajumbe:
1) Fimbo, Mgongo Prof. (Advocate)
2) Kabudi, Mpalamaganda Prof. (Advocate) 
3) Njaa, Salehe Ramadhani (Advocate)
4) Rashidi, Tausi Abdallah (Advocate)
5) Tenga, Cathbert (Advocate)

2) KAMATI YA NIDHAMU
Wajumbe:
1) Karua, Tedy 
2) Lamlembe, Roger
3) Kihanga, Pascal 
4) Mahenge, Burton Yesaya
5) Mudhihir, Mudhihir (Advocate)

3) KAMATI YA SHERIA NA KATIBA 
Wajumbe:
1) Fimbo, Mgongo Prof. (Advocate)
2) Gikas, Farija (Advocate)
3) Kabisa, Jessica (Advocate)
4) Kabudi, Mpalamaganda Prof. (Advocate) 
5) Kambamwene, January (Advocate)
6) Lupogo, Herman (Advocate)
7) Madibi, Richard (Advocate)
8) Mahenge, Burton Yesaya
9) Mgongolwa, Alex (Advocate)
10) Mkucha, Elisha (Advocate)
11) Mudhihir, Mudhihir (Advocate)
12) Njaa, Salehe Ramadhani (Advocate)
13) Rashidi, Tausi Abdallah (Advocate)
14) Tenga, Cathbert (Advocate)
15) Tenga, Ringo Dr. (Advocate)
16) Vedasto, Audax (Advocate

4) KAMATI YA UCHAGUZI
Wajumbe:
 1)  Kajole, Mustafa
 2)  Lundenga, Hashim Ibrahim
 3)  Makele, Bakili
 4)  Mlelwa, Daniel 
  5) Ngongolwa, Alex (Advocate)

Ifahamike kwamba, kutakuwa na nyongeza ya uteuzi wa Wajumbe wengine wa Kamati za YANGA zilizotajwa hapo juu.
Mwanasheria Sam Mapande, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya YANGA – (Utawala Bora) atakuwa Mwenyekiti wa Kamati zilizotajwa hapo juu.
Kamati ya Utendaji ya YANGA, ina karibisha Wajumbe waliotajwa katika Kamati zilizotajwa hapo juu kwa dhamira njema kuwa watasaidia kujenga YANGA bora, na wanaomba ushirikiano kutoka kwa wanaYanga wote ili Wajumbe walioteuliwa waweze kutenda kazi zao vyema kwa manufaa ya YANGA.

(YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO)
(BENO NJOVU)
KATIBU MKUU WA YANGA

Comments