Vanessa Mdee a.k.a Vmoney akiimba jukwaani kwenye tamasha la Fiesta 2014 ndani ya uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga,huku akiwa na staili yake ya kipekee kabisa.
Maelekezo ya hapa na pale kutoka kwa mafundi mitambo na jukwaa ilikuwa ikifanyika ili mambo yaende sawa.
Linah akilinogesha jukwaa la Fiesta na wimbo wake wa Ole Temba.
Ommy Dimpoz akimpagawisha shabiki wake jukwaani kwa staili ya Kantangazee...!
Ali Kiba na vijana wake wakilishambulia jukwaa la Fiesta.waliojoitokeza kwenye tamasha la Fiesha mkoani Tanga mwishoni mwa wiki.
Umati wa watu uliofurika katika Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga kupata burudani safi wakati wa tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika mwishoni mwa wiki.
Sehemu ya umati mkubwa wa watu ukifuatilia yaliyokuwa yakijiri ndani ya uwanja wa Mkwakwani wakati tamasha la Fiesta 2014 likiendelea
Comments
Post a Comment