EVERTON imetangaza kumsaji mchezaji huru Samuel Eto'o kwa mkataba wa miaka miwili.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 33 aliachwa huru na Chelsea kiangazi hiki na anajiunga na Everton baada ya dili la kwenda Liverpool kishindikana.
Eto'o ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitte: "Ni rasmi sasa mimi ni mchezaji wa Everton …!!! Wacha tuwe tayari kwa changamoto mpya!!!"
Comments
Post a Comment