PICHA: SERENGETI FIESTA MJINI MOSHI‏

Burudani zikiwa zimepamba moto katika Tamasha la Serengeti Fiesta mjini Moshi usiku huu.
Chegge (kulia) na Mhe. Temba wakilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta Moshi.
Nyomi baada ya kukongwa nyoyo na burudani za Serengeti Fiesta mjini Moshi.
Mwanadada Feza Kessy akifanya vitu vyake stejini katika Serengeti Fiesta mjini Moshi.
Watangazaji wa Clouds FM, DJ Fetty na B12 wakionyesha mbwembwe zao wakati wa tamasha hilo mjini Moshi.
Msanii Maua akifanya yake stejini.
(PICHA ZOTE NA MUSA MATEZA / GPL, MOSHI)

Comments