KAMA tulivyokuahidi kuwa tutakuletea picha kibao za show ya Usiku wa Nani Kama Mama iliyofanyika Ijumaa usiku, picha 25 hizi hapa mbele ya macho yako.
Naam ni picha 25 kali zitakazokuthibitishia namna onyesho hilo la Chrtistian Bella lilivyofana ndani ya ukumbi wa Mzalendo Pub Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Pata uhondo.
Saa 5 za usiku tayari ukumbi ulikuwa hivi
Christian Bella akishambulia na Malaika Band
Bella akisukuma masauti yake matamu
Bella akikamua na madansa wa Malaika Band
Malaika Band walivyomeremeta jukwaani
Kazi tu
Bella akiimba na mashabiki
Bella akiendelea kuwapagawisha mashabiki
MC wa onyesho hilo Hamis Dacota kutoka TBC akifanya yake jukwaani
Wote mikono juu
Hili ni nyomi lililojazama Mzalendo Pub
Malaika Band jukwaani
Hapa ni wakati wa Ommy Dimpoz kupagawisha mashabiki
Bella na Dimpoz wakiimba kwa hisia
Ommy Dimpoz akiwakuna kina dada
Hili ni eneo la maegesho ya magari ambalo nalo liligeuzwa sehemu ya ukumbi ...cheki palivyoshona!
Bella akitupia minenguo
Christian Bella
Christian Bella akisema na mashabiki
Kutoka kulia ni Mfanya bishara Tom Kisusi, Totoo Ze Bingwa na mtangazaji G Mbongo wa East Africa Radio na EATV
Rapa wa Malaika Band Totoo ze Bingwa jukwaani
Rapa wa Malaika Band Totoo ze Bingwa akiendeleza makamuzi jukwaani
Watangazaji Hamis Dacota wa TBC na Gadner G Habash wa Times FM
Banana Zorro akiiimba na Christian Bella
Comments
Post a Comment