PATA PICHA 23 MSAFIRI DIOUF AKITAMBULISHWA TWANGA PEPETA SAMBABA NA NYIMBO 3 MPYA …ni ndani ya Mango Garden usiku wa kuamkia leo
BENDI ya African Stars "Twanga Pepeta" imewapagawisha mashabiki waliofurika kwenye ukumbi wa Mango Garden Kinondoni, lililofanyika usiku wa kuamkia leo.
Onyesho hilo lilikuwa ni maalum kwa kumkaribisha nyumbani nyumbani rapa Msafiri Diouf pamoja na nyimbo 3 mpya.
Nyimbo hizo zilizopokewa vizuri ukumbini hapo ni "X-Michepuko" utunzi wake Msafiri Diouf, "Mapenzi yanaumiza" wa Hajj BSS na "Ganda la Muwa" wa Kupaza.
"Pata picha 23 ya onyesho hilo lililohudhuriwa na watu wengi.
Badi Bakule "Mkandarasi" akisababisha
Dogo Rama (kushoto) na Kalala Jr
Hajj BSS na Luizer Mbutu jukwaani
Kalala Jr akipewa mshiko na mashabiki
Kutoka kushoto ni Kabatano, J Four na Luizer
Jojo Jumanne kwenye bass na Kaposhoo kwenye tumba
Kalala Jr akiteta na bosi wake Mamaa Asha Baraka
Mwandishi Kambi Mbwana wa gazeti la Mtanzania, Said Mdoe na Muddy Muzungu wa Clouds TV
Kanuti akikung'uta solo gitaa
James Kibosho kwenye drum
Rapa mpya ambaye ana uweo pia wa Frank Kabatao
Luizer Mbutu akiimba moja ya nyinboo zilizowakuna watu
Madansa wa kike
Madansa wa kiume jukwaani
Namna ukumbi wa Mnago ulivyokuwa unaonekaka
Fatma Kibororoni akishambulia jukwaa
Diouf akiekelea kupanda jukwaani
Hapa tayari Diouf yuko jukwaani
Kabatano na Diouf
Sehemu nyingine ya ukumbi ilivyokuwa
Rama Pentagone akitupia pande katika wimbo Ganda la Muwa
Mdau mkubwa wa muziki Said Musa akifuatilia kwa makini onyesho la Twanga
Comments
Post a Comment