Waziri wa Vijana,Utamaduni na Michezo Dk Fenera Mkangara akiongoza ugeni toka klabu ya Real Madrid ulipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA.) |
Baadhi ya wachezaji wa zamani wa klabu ya Real Madrid wakiwasili katika uwanja wa Ndege wa KIA . |
Mkurugenzi wa Kampuni ya Panone Ltd Patrick Ngiloi akisalimiana na mmoja wa wageni waliokuwa wameambatana na ugeni huo. |
Magwiji hao walipokelewa na ngoma ya asili kutoka kikundi cha Msanja cha mjini Moshi. |
Magwiji hao walikabidhiwa Maua uwanjani hapo kama ishara ya Upendo kwao |
Mkurugenzi wa Panone Ltd,Patrick Ngiloi (kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi wa TSN ,FarouK Baghoza mara baada ya kupokea ugeni toka Real Madrid. |
Ugeni wa Real Madrid ukiwasili katika hotel ya Panone Luxury Motel iliyopo King'ori jijini Arusha. |
Waziri wa Habari ,Vijana ,Utamaduni na Michezo Dk Fenela Mkangara akiongozana na mkuu wa wilaya ya Rombo ,Elinasi Parangyo kusindikiza Ugeni toka Real Madrid. |
Wachezaji wa Real Madrid wakiteremka toka katika basi wakiingia hotel ya Panone Luxury Motel kwa jaili ya viburudisho. |
Viongozi wa serikali wakipata viburudisho |
Baadhi ya wachezaji wa klabu ya Panone fc wakibadilishana mawazo na baadhi ya wachezaji wa zamani wa klabu ya Real Madrid . |
Wadau wa soka mkoa wa Kilimanjaro pia walikuwepo. |
Wachezaji wa klabu ya Panone fc ,Raymond Madesho (shoto) na Salmini Mvungi wakipata picha ya pamoja na mtangazaji wa Clouds fm Shaffih Dauda. |
Waziri wa Habari,Vijana ,Utamaduni na Michezo Dk Fenela Mkangara akikabidhi zawadi ya kinyago kwa Kiongozi wa Wachezaji wa zamani wa klabu ya Real Madrid. |
Waziri wa Habari,Vijana ,Utamaduni na Michezo Dk Fenela Mkangara akizungumza mara baada ya kukabidhi zawadi kwa wageni hao. |
Baaadhi ya wageni wakiwa na wenyeji wao katika hotel ya Panone Luxury Motel. |
Waziri Mkangara akiongoza ugeni kutoka hotelini hapo. |
Kikosi cha wachezaji wa zamani waklabu ya Real Madrid kikiasili katika uwanja wa Ushirika. |
Kikosi cha Machava fc . |
Kikosi cha Panone fc. |
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiwapokea wageni hao. |
Wageni wakijiandaa kusalimia vikosi vya Panone fc na Machava fc. |
Kikosi cha Machava wakiwa katika picha ya Pamoja na magwiji wa Real Madrid. |
Kikosi cha Panone fc kikiwa katika picha ya pamoja na magwiji wa Real Madrid. |
Friends Of Panone wakiwa katika picha ya Pamoja na magwiji hao. |
Comments
Post a Comment