Paka mweusi akiingia uwanjani na kusababisha mchezo kusimama wa muda.
BARCELONA imeanza vyema La Liga kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Elche Uwanja wa Camp Nou usiku wa kuamkia leo.
Katika mchezo huo, kiungo wa Barca, Javier Mascherano, alitolewa nje kwa kadi nyekundu kipindi cha kwanza, kocha mpya Luis Enrique akiiongoza timu kwa mara ya kwanza, alionyesha mwanzo mzuri.
Wafungaji wa timu ya Barca ni Lionel Messidakika ya 42 na
64, Munir El Haddadi Mohamdakika ya 46.
64, Munir El Haddadi Mohamdakika ya 46.
Comments
Post a Comment