MASHINDANO YA SAFARI POOL NGAZI YA MKOA YAFUNGULIWA LEO MKOANI IRINGA


MASHINDANO YA SAFARI POOL NGAZI YA MKOA YAFUNGULIWA LEO MKOANI IRINGA
Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Iringa, Carlous Mbinda akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi kiti cha kubebea wagonjwa kilichotolewa na kilichotolewa na Chama cha mchezo wa Pool Mkoa wa Iringa(IPA) katika hosptali Halimashauri ya Manispaa ya Iringa ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa mashindano ya mchezo wa Pool ngazi ya Mkoa yaliyoanza jana mkoani humoyajulikanayo kama "Safari Lager Pool Competition 2014" ngazi ya Mkoa.
Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Halimashauri ya Wilaya ya Iringa, Mbaraka Mgangachuma(watatu kushoto) akipokea kiti cha kubebea wagonjwa kilichotolewa na Chama cha mchezo wa Pool Mkoa wa Iringa(IPA) katika hosptali hiyo jana wakati wa uzinduzi wa michezo huo ulioanza jana mjini Iringa ujulikanao kama "Safari Lager Pool Competition 2014" ngazi ya Mkoa.
Mganga mfawidhi wa Hospyali ya Haliamshauri ya Manispaa ya Iringa Mbaraka Mgangachuma akipanda mmmoja wa miche iliyofikishwa hospitalini hapo na wacheza pool wa Mkoa wa Iringa waliofika kwa lengo la utunzaji mazingira wakati wa siku ya ufunguzi wa fainali za mashindano ya Safari Pool ngazi ya mkoa yajukayo kama "Safari Lager Pool Competition 2014" ngazi ya Mkoa.
Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Iringa, Carlous Mbinda akipanda mmmoja wa miche iliyofikishwa hospitalini hapo na wacheza pool wa Mkoa wa Iringa waliofika kwa lengo la utunzaji mazingira wakati wa siku ya ufunguzi wa fainali za mashindano ya Safari Pool ngazi ya mkoa yajukayo kama "Safari Lager Pool Competition 2014" ngazi ya Mkoa.


Comments