Beki kisiki Javier Mascherano ameongeza mkataba wake wa kuichezea Barcelona.Mascherano raia wa Argentina, sasa ataichezea Barcelona hadi mwaka 2018 na amesema ni furaha kubwa kwake.
Mkataba huo umesainiwa leo na kila upande umeonyesha kuwa na furaha kuhusiana na mkataba huo mpya.
Comments
Post a Comment