MAN UNITED YAMALIZA BIASHARA, YAKUBALI KUMNUNUA DI MARIA KWA PAUNI MIL 63.9 …REAL MADRID YABARIKI USAJILI …Di Maria kwenda Old Traffrod Jumatatu kwa maongezi binafsi

REAL MADRID na Manchester United zimekubalina dili la manunuzi ya Angel di Maria na sasa mshambuliaji huyo anakwenda Old Trafford kwa ada ya pauni milioni 63.9.

Dau hilo linakuwa ni rekodi ndani ya England ikifutilia mbali bei ya pauni milioni 50 ya Fernando Torres kutoka Liverpool kwenda Chelsea miaka mitatu iliyopita.

Sky Sporst inasema baada ya mjadala mrefu, hatimaye klabu hizo zimekubaliana bei ya pauni milioni 63.9 na kwamba Di Maria atakwenda Manchester Jumatatu kufanya maongezi binafsi na United na anatarajiwa kuichezea timu hiyo dhidi  Burnley Jumamosi ijayo.

Comments