Hii ni Taswira ya Vijana wa Zanzibar Cosmos wakiwa na Kocha wao mkuu Seif Mbuzi kwenye mazoezi ya Jioni katika viwanja vya Mnazi mmoja ikiwa ni Jitihada yake Seif Mbuzi Katika kunyanyua Kiwango cha Mpira Visiwani Zanzibar
Kocha wa timu ya Zanzibar Cosmos Seif Mbuzi akiwa na vijana wake katika Mazoezi ya kawaida kwenye viwanja vya mpira wa Miguu Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar siku ya Jumanne Aug 26,2014.
Kocha wa timu ya Zanzibar Cosmos Seif Mbuzi akiwafundisha na vijana wake jinsi ya kufunga magoli ya mbali katika Mazoezi kwenye viwanja vya mpira wa Miguu Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar siku ya Jumanne Aug 26,2014.
Kocha wa timu ya Zanzibar Cosmos, Seif Mbuzi akipata picha ya pamoja na timu yake mara tu baada ya mazoezi siku ya Jumanne Aug 26, 2014 ndani ya wanja wa Malindi uliopo mnazi mmoja Zanzibar.(Picha na http://swahilivilla.blogspot.com/)
Comments
Post a Comment