BEKI mpya wa Manchester United Marcos Rojo ameanza mazoezi na wachezaji wenzake huku akisema ni heshima kubwa kwake kichezea klabu kubwa duniani - Manchester United – katika ligi yenye mvuto duniani.
Tozi huyo wa miaka 24 ametua United kwa dili la pauni milioni 16 kutoka Sporting Lisbon huku akipishana na Luis Nani aliyetolewa kwa mkopo ili kuongeza ushawishi wa usajili wake Old Trafford.
Cheki picha kadhaa za Marcos Rojo alivyokuwa akishiriki mazoezi ya Manchester United tayari kwa mechi dhidi ya Sunderland Jumapili.
Comments
Post a Comment