 STAA wa                  mpira wa kikapu wa Ligi ya NBA ya                  Marekani, Mtanzania Hasheem Thabeet ameuzwa na klabu                  yake ya Oklahoma City                    Thunder kwenda Philadelphia 76ers.
STAA wa                  mpira wa kikapu wa Ligi ya NBA ya                  Marekani, Mtanzania Hasheem Thabeet ameuzwa na klabu                  yake ya Oklahoma City                    Thunder kwenda Philadelphia 76ers. Uhamisho huo umefanyika jana Jumanne japo kuna                  madai kuwa staa huyo huenda asikae sana katika timu hiyo                  na kwamba atauzwa hivi karibuni.
            
Comments
Post a Comment